Home Uchambuzi Bajeti inaongozwa na sheria

Bajeti inaongozwa na sheria

2425
0
SHARE

Suala la Matumizi kufanyika nje ya mfumo wa bajeti ni suala la kisheria. Bajeti inaongozwa na sheria mbalimbali kama vile Sheria ya Fedha (The Finance Act), Sheria ya Matumizi na Sheria ya Fedha za Serikali (Public Finance Act). Kuna taratibu za fedha za Serikali kuhamishwa kutoka fungu moja kwenda fungu jingine au ndani ya fungu husika. Katika Sheria zote hakuna mahala Rais amepewa mamlaka ya kuhamisha fungu lolote lile.”

Zitto Z Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini